Ibada Lyrics ibada_lyrics Chakutumaini Sina

Chakutumaini Sina

Lyrics Of The Song Chakutumaini Sina

Song ID 2010

chakutumaini sina ila damu yake Yesu sina wema wa kutosha dhambi zangu kuziosha x2 kwake Yesu na simama ndiye mwamba ni salama x3 njia yangu iwe ndefu yeye hunipa wokovu mawimbi yakinipiga nguvu zake ndizo nanga x2 damu yake na sadaka nategemea daima yote chini yakiisha mwokozi atanitosha nikiitwa hukumuni moyoni nina imani nikivikwa haki yake sina hofu mbele yake

Chakutumaini Sina.mp3

Chakutumaini Sina.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post