Ibada Lyrics ibada_lyrics Hakuna Kabisa Dawa ya Makosa

Hakuna Kabisa Dawa ya Makosa

Lyrics Of The Song Hakuna Kabisa Dawa ya Makosa

Song ID 3705

sioshwi dhambi zangu bila damu yake Yesu hapendezewi Mungu bila damu yake Yesu hakuna kabisa dawa ya makosa ya kututakasa ila damu yake Yesu la kunisafi sina ila damu yake Yesu wala udhuru tena ila damu yake Yesu sipati pataniswa bila damu yake Yesu hukumu yanitisha bila damu yake Yesu sipati tumaini bila damu yake Yesu wema wala amani bila damu yake Yesu yashinda ulimwengu hiyo damu yake Yesu na kutufikisha juu hiyo damu yake Yesu

Hakuna Kabisa Dawa ya Makosa.mp3

Hakuna Kabisa Dawa ya Makosa.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Related Post