Ibada Lyrics ibada_lyrics Nitakuficha nini

Nitakuficha nini

Lyrics Of The Song Nitakuficha nini

Song ID 272

nitakuficha nini ewe Mungu muumba wangu baba siri ya moyo wangu wewe unaijua yote baba nitembeapo hata nilalapo baba unanijua mawazo yangu na matendo yangu yote unayajua ningali tumboni mwa mama yangu wewe ulinijua kwani mimi nikimbilie wapi ili niutoroke uso wako x2 mbingu hata nchi ni mali yako wewe unatawala sasa mimi nikimbilie wapi ili niutoroke uso wako x2 ninapotembea ninapolala wewe wanitazama mtu mimi sinapakujificha palipo mbali nawe Mungu wangu x2

Nitakuficha nini.mp3

Nitakuficha nini.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2804

Leave a Reply

Related Post