Lyrics Of The Song Wewe ni mwema
Song ID 3528
najambelezako Mungu wanguu nikiwanazo heshima zotee ninakiri yale uyatendayo hakika wewe ni mwema muweza yote wewe ni mwema haufananishwi wewe ni mwema baba wewe ni mwema haufananishwi wewe ni mwema baba wewe ndiwe baba wa mataifaa unatenda mambo yaajabu ninakiri yale uyatendayo hakika wewe ni mwema wewe ni mwema haufananishwi wewe ni mwema baba wewe ni mwema haufananishwi wewe ni mwema baba
Wewe ni mwema.video.mp4 YouTube
Hits: 7