Amini Amini

Lyrics Of The Song Amini Amini

Song ID 912

amini amini na waambia mimi na waambia amini amini mmoja wenu atanisaliti nitampiga muchungaji wa kondoo na kondoo wa kundi lake watatawanyika mwana wa baba aende zake ilivyoandikwa ole wake mtu yule amsalitiye ole wangu ole wako umsalitiye Bwana ingekuwa heri kwetu tusingelizaliwa twaeni mle mwili wangu uwe ukumbusho twaeni mnywe damu yangu iwe ukumbusho amini amini na kutubu enyi mataifa amini amini na kutubu turudi kwa Bwana

Amini Amini.mp3

Amini Amini.video.mp4 YouTube

 

Hits: 23

Leave a Reply

Related Post