Ibada Lyrics ibada_lyrics Kwetu Pazuri nimeshapakumbuka

Kwetu Pazuri nimeshapakumbuka

Lyrics Of The Song Kwetu Pazuri nimeshapakumbuka

Song ID 708

ninayo hamu kurudi nyumbani nyumbani kwetu ambapo hatutatengana hapo nyumbani kwetu hakuna makaburi wala hakuna vyandarua maana hakuna malaria kwetu ni pazuri ni pazuri nakuambia najua nawe ndugu yangu unayo hamu ya kufika huko kwetu pazuri nimeshapakumbuka ninayo hamu kuishi na mwokozi wangu kwa amani na furaha tena ya ajabu sipati picha kwa watakaofika kwetu mbinguni hii dunina imejaa shida kama hujui nenda hospitali kaone lakini kwetu hakuna fani ya tabibu watakatifu watachuma majani ya mti wa uzima wawe na afya hawataugua magonjwa tabu tutaziacha zote hapa duniani

Kwetu Pazuri nimeshapakumbuka.mp3

Kwetu Pazuri nimeshapakumbuka.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post