Ibada Lyrics ibada_lyrics Yesu Kwetu ni Rafiki

Yesu Kwetu ni Rafiki

Lyrics Of The Song Yesu Kwetu ni Rafiki

Song ID 2946

Yesu kwetu ni rafiki huambiwa haja pia tukiomba kwa babaye maombi asikia lakini twajikosesha twajitweka vibaya kwamba tulimwomba Mungu dua angesikia una dhiki na maonjo una mashaka pia haifai kufa moyo dua atasikia hakuna mwingine mwema wa kutuhurumia atujua tu dhaifu maombi asikia je hunayo hata nguvu huwezi kuendelea ujapodharauliwa ujaporushwa pia watu wange kudharau wapendao dunia hukwambata mikononi dua atasikia

Yesu Kwetu ni Rafiki.mp3

Yesu Kwetu ni Rafiki.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Related Post