Ibada Lyrics ibada_lyrics Anajibu Maombi

Anajibu Maombi

Lyrics Of The Song Anajibu Maombi

Song ID 1004

anajibu maombi anajibu maombi anajibu maombi yeye ni Mungu wa miungu kama paulo na sila walivyofungwa gerezani waliomba na kusifu na akajibu maombi yao na yule lazaro alipokufa walikimbia kumwita Yesu Yesu akawaambia amelala akamfufua lazaro anajibu maombi anajibu maombi anajibu maombi yeye ni Mungu wa miungu anajibu maombi anajibu maombi anajibu maombi yeye ni Mungu wa miungu kumbuka vile sarah alivyoomba kwa miaka nyingi Mungu akajibu hilo ombi lake akambariki na isaka na ile safari ya waisraeli ilipotatizwa na wamisri Mungu aliwapasulia bahari na akajibu maombi yao walipomletea yule kipofu Yesu alimuekelea mkono hapo upofu wake ukaisha akamshukuru Mungu je wamkumbuka yule mwanamke alivyomwaga damu kwa miaka nyingi aligusa vazi la Yesu na akajibu ombi lake

Anajibu Maombi.mp3

Anajibu Maombi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post