Ibada Lyrics ibada_lyrics Ni wewe tu Bwana

Ni wewe tu Bwana

Lyrics Of The Song Ni wewe tu Bwana

Song ID 1151

ni wewe tu Bwana ni wewe tu ni wewe tu Bwana ni wewe tu wewe ni mwanzo na mwisho baba alpha omega hilo ni jina lako ushindi wako baba ni wa milele nakuinua ninasema ni wewe baba jua na mwezi zote zakuabudu samaki baharini hata na ndege wakwinua waanasema niwewe ni wewe baba hakuna mshindi kama wewe hakuna kama wewe hakuna Mungu kama wewe hakuna kama wewe hakuna mponyaji kama wewe hakuna kama wewe x3

Ni wewe tu Bwana.mp3

Ni wewe tu Bwana.video.mp4 YouTube

 

Hits: 20

Leave a Reply

Related Post