Ibada Lyrics ibada_lyrics Amini Amini Nakwambia

Amini Amini Nakwambia

Lyrics Of The Song Amini Amini Nakwambia

Song ID 2452

amini amini nakwambia amini amini ujumbe mpya yeye aliyemwamini Bwana anao uzima ni mwokozi aliyenifia nitoke dhambini alisema yeye aliyemwamini Bwana anao uzima dhambi zangu zote zilichukuliwa deni zangu zote zilipwa wote waliomwamini Bwana wanao uzima ijapo ningekuwa maskini ijapo ningekuwa mkosaji neno la furaha la mwokozi ninao uzima na sina shaka nitamwamini yeye ajaye kwake hatupwi amwaminiye tuma habari tunao uzima

Amini Amini Nakwambia.mp3

Amini Amini Nakwambia.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post