Lyrics Of The Song Unajibu Maombi
Song ID 3774
unajubu maombi unajibu maombi unajibu maombi nakuamini Bwana ezekia alipougua alikulilia ukamsikia ukamponya na kumwongezea mwaka maana unajibu maombi nami leo nakuita baba usinifiche uso wako na wale waliokata tamaa maana wewe u mwaminifu umesema ikiwa watu wako tulioitwa kwa jina lako tutajinyenyekesha na kuomba na kuutafuta uso wako na kuziacha njia zetu mbaya utasikia toka mbinguni na kutusamehe maovu yetu na kuiponya nchi yetu nakuabudu Mungu mwaminifu wewe ni Mungu usiyeshindwa Mungu unashika maagano nakuabudu Bwana sikio lako sio nzito wewe ni Mungu uliyekaribu toka mbinguni sikia na kujibu nakuabudu Bwana God answers prayers
Unajibu Maombi.video.mp4 YouTube
Hits: 5