Ibada Lyrics ibada_lyrics Ninaungama Dhambi zangu

Ninaungama Dhambi zangu

Lyrics Of The Song Ninaungama Dhambi zangu

Song ID 601

ninaungama dhambi zangu zote Mungu baba mwenyezi kwani nimekosa nanyi ndugu zangu ninaungama niliwakosea kwa mawazo yangu pia maneno na matendo yangu nimekosa mimi nimekosa mno mnihurumie ee mama maria bikira mwema nanyi malaika ee watakatifu wote wa Mungu nanyi ndugu zangu

Ninaungama Dhambi zangu.mp3

Ninaungama Dhambi zangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post