Lyrics Of The Song Bwana Nakushukuru Asante
Song ID 3872
Bwana nakushukuru x2 pendo lako kwangu kubwa sana x2 umenilisha mwili wako na damu yako bass Bwana ili nipate uzima wa milele tenor sop Bwana nakushukuru asante nitakulipa nini mimi mwokozi wanguYesu kwa mema yote ambayo wanijalia ewe Bwana nakushukuru asante Bwana nakushukuru asante x2 kwani umenilisha mwiliyo x2 Bwana nakushukuru asante x2 kwani umeninywesha damuyo x2 pendo lako kwangu kubwa sana x2 nami nitakusifu daima x2
Bwana Nakushukuru Asante.video.mp4 YouTube
Hits: 20