Ibada Lyrics ibada_lyrics Asante Ee Baba

Asante Ee Baba

Lyrics Of The Song Asante Ee Baba

Song ID 385

hadi leo umetulinda umetupa uzima wako kwa hayo yote tunasema asante asantee ee baba asante bass twashukuru kwa mapenzi yako yote asante neno lako tumelipata funzo lako tumelipata kwa hayo yote twasema baba asante mwili wako umetulisha damu yako umetunywesha atukuzwe baba na mwana naye roho mtakatifu kama mwanzo sasa na hata milele

Asante Ee Baba.mp3

Asante Ee Baba.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Related Post