Ibada Lyrics ibada_lyrics Nimesogea Mtini Pako

Nimesogea Mtini Pako

Lyrics Of The Song Nimesogea Mtini Pako

Song ID 2966

nasikia kwitwa na sauti yako nikasafiwe kwa damu ya kwangikwa kwako nimesogea mtini pako unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako ni mnyonge kweli umenipa nguvu ulivyonisafi taka ni utimilivu Yesu hunijuvya mapenzi imani tumai amani radhi hapa na mbinguni huipa imara kazi yake ndani huongezeka neema ashindwe shetani huishuhudia myoyo ya imani ya kuzipata ahadi wakimuamini napata wokovu wema na neema kwako Bwana nina nguvu na haki daima

Nimesogea Mtini Pako.mp3

Nimesogea Mtini Pako.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Related Post