Ibada Lyrics ibada_lyrics Nasikia Kuitwa

Nasikia Kuitwa

Lyrics Of The Song Nasikia Kuitwa

Song ID 2552

nasikia kwitwa na sauti yako nikasafiwe kwa damu ya kwangikwa kwako nimesogea mtini pako unisafi kwa damu ya kwangikwa kwako ni mnuonge kweli umenipa nguvu ulivyonisafi taka ni utimilivu Yesu hunijuvya mapenzi imani tumai amani radhi hapa na mbinguni huipa imara kazi yake ndani huongezeka neema ashindwe shetani huishuhudia myoyo ya imani ya kuzipata ahadi wakimuamini napata wokovu wema na neema kwako Bwana nina nguvu na haki daima

Nasikia Kuitwa.mp3

Nasikia Kuitwa.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post