Ibada Lyrics ibada_lyrics Adonai Nakupamba na sifa zangu

Adonai Nakupamba na sifa zangu

Lyrics Of The Song Adonai Nakupamba na sifa zangu

Song ID 2781

nakupamba na sifa zangu wewe kwangu ebeneza x3 nakuinua wastahili wapendeza Mungu wangu jina lako takatifu wewe kwangu oh nakwita adonai ewe u Bwana wangu nakwita jehova nissi bendera yangu vita ni vyako nakuita jireh hakuna chochote jehovah shammah pamoja nami meaning honor you with my praises

Adonai Nakupamba na sifa zangu.mp3

Adonai Nakupamba na sifa zangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post