Ibada Lyrics ibada_lyrics Peleleza Ndani yangu

Peleleza Ndani yangu

Lyrics Of The Song Peleleza Ndani yangu

Song ID 2690

peleleza ndani yangu iwe safi nia kwangu kama kwako Mungu idhihiri pia peleleza moyo wangu unifunulie yaliyomo ndani yangu nami niyajue kwanza washe zako tambi kumefunga giza nijue ambavyo dhambi ni la kuchukiza peleleza na mawazo ni mbegu za mambo asili ya machukizo maumbuo umbo zidi kuyapeleleza katikati yangu hata wishe nifundisha udhaifu wangu hapo nikikwinamia mbele zako Mungu hakika nitakujua u mpenzi wangu

Peleleza Ndani yangu.mp3

Peleleza Ndani yangu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Related Post