Ahadi Zake

Lyrics Of The Song Ahadi Zake

Song ID 39

nafsi yangu usichoke roho yangu msifu Bwana alihadi atatenda mtumanie Bwana ahadi zake ni za milele akiahidi atatenda roho yangu nafsi yangu mtumainie Bwana kama mvua ishukavyo toka mbinguni kwenye ardhi na neno lake kwa kinywa chake halitarudi bure litatimiza mapenzi yake litatenda alivyo sema aliahidi atatenda mtumainie Bwana mawazo yake sio yetu njia zake si kama zetu mbingu zilivyo juu ya nchi mawazo yake ni makuu ataagiza fadhili zake wimbo wake kwangu usiku sifadhaike usiiname mtumainie Bwana kama mvua ishukavyo toka mbinguni kwenye ardhi na neno lake kwa kinywa chake halitarudi bure litatimiza mapenzi yake litatenda alivyo sema aliahidi atatenda mtumainie Bwana

Ahadi Zake.mp3

Ahadi Zake.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post