Ibada Lyrics ibada_lyrics AMENIPANDA lyrics by Jemimah Thiong’o

AMENIPANDA lyrics by Jemimah Thiong’o

Lyrics Of The Song AMENIPANDA lyrics by Jemimah Thiong’o

Song ID 3030

Bwana asema amenipanda mimi kando ya mito yenye maji mengi Bwana asema amenipanda mimi kando ya mito yenye maji mengi ni Bwana alonipanda kwa mikono yake baba kando ya mito yenye rehema na baraka kunipalilia baba sikosi mbolea maji naishi nikiamini siwezi nyauka nimepandwa ee kweli baba wa rehema amenipanda mimi baraka zanifuata kokote niendako amenipa uhai akalinda afya yangu ndiposa nashuhudia sifa alozipanda Mungu wangu imani ya wokovu hushinda majaribu hiyo ni baadhi ya mito nilopandwa kwayo mambo yangu yote baba hupanga kwa utaratibu kwa maana anijali aliyenipanda Mungu wangu wee hakuna juu mbinguni wala chini duniani anayeshinda Mungu muumba mpanzi wangu hunizunguka mimi kwa damu ya mwanao hunilinda vyema sipati madhara kwani nimepandwa ee

AMENIPANDA lyrics by Jemimah Thiong’o.mp3

AMENIPANDA lyrics by Jemimah Thiong’o.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post