Lyrics Of The Song Atakapokuja Bwana -arusi
Song ID 815
yafuliwe kwa damu ya kondoo kuoshwa kwa damu itutakasayo ya kondoo ziwe safi nguo nyeupe mno umeoshwa kwa damu ya kondoo yatupwe yaliyo na takataka na uoshwe kwa damu ya kondoo huoni kijito chatiririka na uoshwe kwa damu ya kondoo
Atakapokuja Bwana -arusi.video.mp4 YouTube
Hits: 1