Lyrics Of The Song Baba Yetu Ee Baba
Song ID 1159
baba yetu uliye mbinguni ee baba jina lako litukuzwe ee baba ufalme wako ufike ee baba utakalo lifanyike ee baba baba ee baba ee eee baba baba Mungu eee baba x2 drums eee baba x2 duniani kama mbinguni tupe leo mkate wetu mkate wetu wa kila siku tusmehe makosa yetu kama vile twawasamehe waliotukosea sisi situtie majaribuni walakini utuopoe maovuni utuopoe kwa kuwa falme ni wako na nguvu na utukufu utukufu hata milele
Baba Yetu Ee Baba.video.mp4 YouTube
Hits: 5