Ibada Lyrics ibada_lyrics Baba Yetu (Iyo Hoho)

Baba Yetu (Iyo Hoho)

Lyrics Of The Song Baba Yetu (Iyo Hoho)

Song ID 1050

baba yetu wa mbinguni jina lako litukuzwe ufalme wako na ufike utakalo lifanyike duniani kama mbinguni jina lako litukuzwe iyo hoho s a iyo iyo b t tupe leo riziki zetu tusamehe makosa yetu kama tunavyo wasamehe nasi waliotukosea situtie majaribuni walakini utuopoe tuopoe maovuni maovuni utuopoe kwa kuwa ufalme falme ni wako na nguvu na utukufu milele

Baba Yetu (Iyo Hoho).mp3

Baba Yetu (Iyo Hoho).video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post