Ibada Lyrics ibada_lyrics Baba Yetu Prayer Kiswahili

Baba Yetu Prayer Kiswahili

Lyrics Of The Song Baba Yetu Prayer Kiswahili

Song ID 537

baba yetu yetu uliye mbinguni yetu yetu amina baba yetu yetu uliye ku jina lako eh litukuzwe utupe leo chakula chetu tunachohitaji utusamehe makosa yetu hey kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea usitutie katika majaribu lakini utuokoe na yule mwovu milele na milele ufalme wako ufike utakalo lifanyike lifanyike duniani kama mbinguni amina utupe leo chakula chetu tunachohitaji utusamehe makosa yetu hey kama nasi tunavyowasamehe waliotukosea usitutie katika majaribu lakini utuokoe na yule ibilisi mwovu milele

Baba Yetu Prayer Kiswahili.mp3

Baba Yetu Prayer Kiswahili.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post