Ibada Lyrics ibada_lyrics Bwana Ametamalaki

Bwana Ametamalaki

Lyrics Of The Song Bwana Ametamalaki

Song ID 413

Bwana ametamalaki x2 dunia ishangilie kwa furaha na vigelegele x2 na mwanga uliuangaza ulimwengu ukatetema na watu wote wameuona utukufu wake Mungu mwenyezi binti za yuda walishangilia kwa furaha kuliko nchi maana wewe ndiwe uliyetukuka sana kuliko vyote

Bwana Ametamalaki.mp3

Bwana Ametamalaki.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post