Lyrics Of The Song Bwana AMETOA
Song ID 1341
Bwana ametoa uzima bure yule atakaye atapata bure Bwana ametoa amani ya bure yule atakaye atapata bure Bwana ametoa upendo wa bure yule atakaye atapata bure sogea songea songea songea songea songea baraka za kungojea songea ewe baba songea ewe mama songea we kijana uzima wa kungojea
Bwana AMETOA.video.mp4 YouTube
Hits: 18