Ibada Lyrics ibada_lyrics Bwana Unitegee Sikio

Bwana Unitegee Sikio

Lyrics Of The Song Bwana Unitegee Sikio

Song ID 1628

ewe Bwana unitegee sikio lako unijibu kweli unijibu kweli x2 eee ee ee ewe Mungu wangu ewe Yesu sikia maombi yangu sauti ya dua yangu sauti ya dua yangu ewe Yesu unisikilize x2 kati kati ya miungu baba hakuna Mungu kama wewe Mungu kama wewe x2 ingawa mimi sistahili nahitaji mema Mungu wangu mema Mungu wangu x2 maana mimi ni maskini nahitaji tena mcha Mungu tena mcha Mungu x2 walio wako wanaimba na kusifu jina lako Bwana jina lako Bwana x2

Bwana Unitegee Sikio.mp3

Bwana Unitegee Sikio.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post