Ibada Lyrics ibada_lyrics Chezeni Na Ngoma

Chezeni Na Ngoma

Lyrics Of The Song Chezeni Na Ngoma

Song ID 194

chezeni na ngoma aee chezeni ii chezeni kayamba pigeni jumapili imefika leo siku ya shangwe na furaha tumshukuru Mungu njoni tuungane pamoja tumshukuru Mungu mola naye ametujalia baraka zake nyingi

Chezeni Na Ngoma.mp3

Chezeni Na Ngoma.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Related Post