Lyrics Of The Song Ee Bwana Pokea
Song ID 861
bass ee Bwana pokea all ee Bwana pokea vipaji vyetu twakutolea uvipokee x2 sop mkate na divai all Bwana pokea x2 hata nafsi zetu x2 mazao ya mashamba x2 vyote vyako baba x2 na utubariki x2
Ee Bwana Pokea.video.mp4 YouTube
Hits: 12