Ibada Lyrics ibada_lyrics Hapo mwanzo kulikwa na neno

Hapo mwanzo kulikwa na neno

Lyrics Of The Song Hapo mwanzo kulikwa na neno

Song ID 161

hapo mwanzo kulikwa na neno naye neno alikuwa kwa Mungu na tena neno huyu alikuwa Mungu naye neno alifanyika mwili akaja akakaa kwetu tukauona utukufu wake mwana kondoo yohana alimwona amevikwa vazi lilichovya katika damu na jina lake lilikua mwana wa Mungu

Hapo mwanzo kulikwa na neno.mp3

Hapo mwanzo kulikwa na neno.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post