Lyrics Of The Song Hunificha Hunificha – Tufani inapovuma
Song ID 3055
tufani inapovuma sana moyoni mwangu huona pa kujificha mkononi mwa Mungu hunificha hunificha adui hatanipata hunificha hunificha mkononi mwake pengine kuna taabu yanisongeza kwake najua si hasira ni ya mapenzi yake adui wakiniudhi nami nikisumbuka Mungu atavigeuza vyote viwe baraka niishipo duniani ni tufani daima anilindapo rohoni nitakaa salama
Hunificha Hunificha – Tufani inapovuma.mp3
Hunificha Hunificha – Tufani inapovuma.video.mp4 YouTube
Hits: 6