Ibada Lyrics ibada_lyrics Hunificha Hunificha – Tufani inapovuma

Hunificha Hunificha – Tufani inapovuma

Lyrics Of The Song Hunificha Hunificha – Tufani inapovuma

Song ID 3055

tufani inapovuma sana moyoni mwangu huona pa kujificha mkononi mwa Mungu hunificha hunificha adui hatanipata hunificha hunificha mkononi mwake pengine kuna taabu yanisongeza kwake najua si hasira ni ya mapenzi yake adui wakiniudhi nami nikisumbuka Mungu atavigeuza vyote viwe baraka niishipo duniani ni tufani daima anilindapo rohoni nitakaa salama

Hunificha Hunificha – Tufani inapovuma.mp3

Hunificha Hunificha – Tufani inapovuma.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post