Ibada Lyrics ibada_lyrics Huyo ndiye! Anashuka

Huyo ndiye! Anashuka

Lyrics Of The Song Huyo ndiye! Anashuka

Song ID 2288

huyo ndiye anaskuka aliyetufilia wengi waliookoka wakimfurahia aleluya Yesu aturudia sote tutamtazama amekaa kitini nao waliomcoma kumkaza mtini na kilio wamuone enzini alama za kifo chake hata sasa anazo na waaminifu wake wapendezewa nazo alipata kwetu alama hizo wokovu utakiwao sasa wapatikana na watakatifu hao mbinguni wakutana kumlaki ndiyo siku ya Bwana wakusujudie wote mbele ya kiti chako zako Bwana nguvu zote itwae milki yako njoo Bwana sisi tu watu wako

Huyo ndiye! Anashuka.mp3

Huyo ndiye! Anashuka.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post