Ibada Lyrics ibada_lyrics I WILL FOLLOW YOU lyrics by Gloria Muliro

I WILL FOLLOW YOU lyrics by Gloria Muliro

Lyrics Of The Song I WILL FOLLOW YOU lyrics by Gloria Muliro

Song ID 535

unaponipeleka mie si lazima nijue unachoniwazia mie si lazima nijue njia zako hakika mambo yako sambamba mipango yako sawa sawa njia zako hakika mambo yako sambamba mipango yako sa a chorus where you go al go where you stay al stay where you move al move al hakuna dhiki kwako hakuna chuki kwako wala unafiki kwako baba kwako ni marafiki kwako kuna amani kwako baba kwako hakuna vita kwako hakuna magonjwa kwako wala talaka kwako baba kwako kuna upendo tele kwako furaha kwako umoja kwako baba kwako where you go al go where you stay al stay where you move al move al move i will follow you

I WILL FOLLOW YOU lyrics by Gloria Muliro.mp3

I WILL FOLLOW YOU lyrics by Gloria Muliro.video.mp4 YouTube

 

Hits: 1

Leave a Reply

Related Post