FOLLOW YOU

Lyrics Of The Song FOLLOW YOU

Song ID 2948

where you go ill go where you stay ill stay where you move ill move i will follow you unaponipeleka mie si lazima nijue unachoniwazia mie si lazima nijue njia zako hakika mambo yako sambamba mipango yako sawa sawa njia zako hakika mamboyako sambamba mipango yako sawa hakuna dhiki kwako hakuna chuki kwako wala unafiki kwako baba kwako ni marafiki kwako kuna amani kwako baba kwako hakuna vita kwako hakuna magonjwa kwako wala talaka kwako baba kwako kuna upendo tele kwako furaha kwako umoja kwako baba kwako

FOLLOW YOU.mp3

FOLLOW YOU.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post