Ibada Lyrics ibada_lyrics Ipo siku Yangu nibarikiwe

Ipo siku Yangu nibarikiwe

Lyrics Of The Song Ipo siku Yangu nibarikiwe

Song ID 2372

ni mbali nimetoka tena ni ajabu kuwa hai maana ningeshakufaga ni mengi nimeona tena ya kuvunja moyo labda ningeshamwacha Mungu kama ni misongo ya mawazo magonjwa mama nimepitia ninazoea maumivu ya kudharauliwa umasikini ni kila siku ninajipa moyo ipo siku yangu tu ipo siku siku ipo siku yangu tu nami niba niba nibarikiwe nami nibarikiwe nibarikiwe niba niba nibarikiwe ingawa kwa sasa wananisema vibaya nami sishaNgai najua ni ya wanadamu hayo ingawa sipati na ni kwa muda mrefu siachi kuomba Mungu si kiziwi binadamu wema ukiwa nacho kwa sasa waniepuka sina rafiki wa dhati ooh kama ni misongo ya mawazo magonjwa mama nimepitia ninazoea maumivu ya kudharauliwa umasikini ni kila siku ninajipa moyo miaka imepita unaombaga mtoto hupati vuta subira maana yeye hachelewi ona biashara imeandamwa mikosi hupati usimwache Mungu waganga watakuponza mpo kwa ndoa ila nyumbani amani hakuna msimwache Mungu michepuko sio jibu umeugua tumaini la kupona hakuna usimtazame mwanadamu siku yako imekaribia najua ayaya najua ayaya najua ayaya misukosuko ya ndoa mtoto anakusumbua giza likiingia unawaza wapi utalala masimango mashemeji ati huzai mtoto masimango mama wa kambo umemchosha nyumbani usiwaze usiumie najua yote yatapita siku imekaribia najua yote yatapita nawe ubarikiwe nibarikiwe ubarikiwe nibarikiwe nawe ubarikiwe uba uba ubarikiwe eh

Ipo siku Yangu nibarikiwe.mp3

Ipo siku Yangu nibarikiwe.video.mp4 YouTube

 

Hits: 5

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post