Ibada Lyrics ibada_lyrics Kumtegemea Mwokozi

Kumtegemea Mwokozi

Lyrics Of The Song Kumtegemea Mwokozi

Song ID 461

kumtegemea mwokozi kwangu tamu kabisa kukubali neno lake nina raha moyoni Yesu Yesu namwamini nimemwona thabiti Yesu Yesu yu thamani ahadi zake kweli kumtegemea mwokozi kwangu tamu kabisa kuamini damu yake nimeoshwa kamili kumtegemea mwokozi kwangu tamu kabisa kwake daima napata uzima na amani nafurahi kwa sababu nimekutegemea Yesu mpendwa na rafiki uwe nami dawamu

Kumtegemea Mwokozi.mp3

Kumtegemea Mwokozi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post