Ibada Lyrics ibada_lyrics Mama ni Mama

Mama ni Mama

Lyrics Of The Song Mama ni Mama

Song ID 50

mama mama mama uwezo wa kukulipa sina kwa taabu ulininyonyesha namwomba Mungu akupe baraka ooh mama imeandikwa waheshimu wazazi wako siku zako zipate ongezeka imeandikwa waheshimu baba na mama vijana wengi waheshimu baba peke yake kwa kuwa mama ni mpole wengi wanamdharau unatenda dhambi ukimdharau mama ni mama huyo ni mama yako usimpigie ngumi ni mama yako huyo usimtukane ni mama yako usimnyoshe kidole mama ni mama hata kama huna msingi elimu ni mama huyo x2 mama mama mama uwezo wa kukulipa sina kwa taabu ulininyonyesha namwomba Mungu akupe baraka mama ooh mama mama aah mama yako alinusurika kufa wakati unazaliwa wewe dada aliweka roho mkononi wakati wa kuzaliwa kwako kaka mama yako alinusurika kufa wakati unazaliwa wewe baba aliweka roho mkononi wakati wa kuzaliwa kwako dada ni mama yako usimpigie ngumi ni mama yako huyo usimtukane ni mama yako usimnyoshe kidole mama ni mama hata kama huna msingi elimu ni mama huyo unapata wapi ujasiri wa kumtukana mama unapata wapi ujasiri wa kumpunja mama unapata wapi ujasiri wa kumpiga mama unapata ujasiri pepo ni pepo hiyo uponywe kwa jina la Yesu Mungu alimuamini mama akakuweka tumboni miezi tisa mama yako alikuwa mwaminifu kwa Mungu akakutunza tumboni miezi tisa kumbuka baba yako naye anayo tumbo jiulize kwa nini hukuwekwa kwa baba yako ooh mama mama mama mama uwezo wa kukulipa sina kwa taabu ulininyonyesha namwomba Mungu akupe baraka mama ooh mama mama aah

Mama ni Mama.mp3

Mama ni Mama.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post