Ibada Lyrics ibada_lyrics MFALME MKUU by Kanjii Mbugua

MFALME MKUU by Kanjii Mbugua

Lyrics Of The Song MFALME MKUU by Kanjii Mbugua

Song ID 978

wewe ndiwe wewe ndiwe wewe ndiwe mfalme mkuu nilikuwa nimekosa tumaini maishani lakini Yesu akaniokoa nilikuwa niangamie nianguke nipotee lakini Yesu akaniokoa pre chorus napigwa na butwa ninashangaa nimezubaa wema wako hauna kipimo napigwa na butwa ninashangaa nimezubaa nguvu zako zako hazina kipimo nilikuwa nimezama shida nyingi upande zote lakini Yesu akaniokoa nilikuwa nimefungwa nimeshindwa nimezidiwa lakini Yesu akaniokoa bridge shangwe na nderemo furaha ya ajabu we umeniona mwokozi wangu wewe ni wewe ni wewe wewe wewe ni wewe ni mwokozi wangu

MFALME MKUU by Kanjii Mbugua.mp3

MFALME MKUU by Kanjii Mbugua.video.mp4 YouTube

 

Hits: 7

Leave a Reply

Related Post