Mimi Yesu

Lyrics Of The Song Mimi Yesu

Song ID 3022

mimi Yesu nimemtuma malaika kushuhudia matendo yale ya unabii yaliyonenwa na yohana x2 chorus o natazama naja upesi o na ujira na ujira o kila mtu kila mtu na kazi yake na kazi yake o mimi ndimi mimi ndimi o mimi alfa mimi alfa o na omega na omega asema Bwana asema Bwana bass naja upesi shika sana ulicho nacho usinyanganywe nasi tuimbe nasituimbe tumtukuze tumtukuze aliyekuja aliyekuja kutukomboa kutukomboa na yohana alikwenda kushuhudia mambo yale alipofika na kuyaona alianguka na kususjudu

Mimi Yesu.mp3

Mimi Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 21

Leave a Reply

Related Post