Ibada Lyrics ibada_lyrics Msalaba ndio asili ya mema

Msalaba ndio asili ya mema

Lyrics Of The Song Msalaba ndio asili ya mema

Song ID 2200

sioni haya kwa Bwana kwake nitangara mti wake sitakana ni neno imara chorus msalaba ndio asili ya mema nikatua mzigo hapo nina uzima furaha daima njoni kafurahini papo kama kiti chake vivyo ni yake ahadi alivyowekewa navyo kamwe havirudi Bwana wangu tena Mungu ndilo lake jina hataacha roho yangu wala kunikana atakiri langu jina mbele za babaye anipe pahali tena mbinguni nikae at the cross

Msalaba ndio asili ya mema.mp3

Msalaba ndio asili ya mema.video.mp4 YouTube

 

Hits: 10

Leave a Reply

Related Post