Ibada Lyrics ibada_lyrics Msalabani pa Mwokozi

Msalabani pa Mwokozi

Lyrics Of The Song Msalabani pa Mwokozi

Song ID 3128

msalabani pa mwokozi hapo niliomba upozi akaniokoa mpenzi mwana wa Mungu mwana wa Mungu mwokozi wangu akaniokoa mpenzi mwana wa Mungu chini ya mti msumbufu niliomba utakatifu alinikomboa kwa damu mwana wa Mungu aliniokoa dhambini ikawa kunikaa ndani aliponifia mtini mwana wa Mungu damu ya Yesu ya thamani huniokoa makosani huniendesha wokovuni mwana wa Mungu hicho kijito cha gharama leo jivike kwa kuzama kwake uuone uzima mwana wa Mungu

Msalabani pa Mwokozi.mp3

Msalabani pa Mwokozi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 6

Leave a Reply

Related Post