Ibada Lyrics ibada_lyrics Mteteeni Yesu

Mteteeni Yesu

Lyrics Of The Song Mteteeni Yesu

Song ID 3384

mteteeni Yesu mlio askari inueni beramu mukae tayari kwenda nae vitani sisi hatuchoki hata washindwe pia yeye amiliki mteteeni Yesu vita ni vikali leo siku ya Bwana atashinda kweli waume twende naye adui ni wengi lakini kwake Bwana tuna nguvu nyingi mteteeni Yesu wenye ushujaa nguvu zenu za mwili hazitatufaa silaha ya injili vaeni daima kesheni mkiomba sirudini nyuma mteteeni Yesu vita ni vikali wengi wamdharau hawamkubali ila atamiliki tusitie shaka kuwa naye vitani twashinda hakika

Mteteeni Yesu.mp3

Mteteeni Yesu.video.mp4 YouTube

 

Hits: 8

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post