Ibada Lyrics ibada_lyrics Hakuna Silaha

Hakuna Silaha

Lyrics Of The Song Hakuna Silaha

Song ID 3250

hakuna silaha yeyote iliyotumwa kinyume chetu itakayofaulu x2 silaha yoyote itakayotumwa kwa njia moja au nyingine itawanyishwa kwa njia saba haitafaulu x2 yalionenwa na walio hai na walio kufa chini ya maji na nchi kavu haitafaulu x2 hakuna hakuna hakuna itakayofaulu neno la Mungu linasema hakuna uchawi mapepo unganga ushirikina itakayofaulu usiogope simama na neno la Mungu sarah k hakuna silaha in scripture isaiah 57 14 no weapon formed against you shall prosper

Hakuna Silaha.mp3

Hakuna Silaha.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Related Post