Ibada Lyrics ibada_lyrics HAKUNA SILAHA lyrics by Sarah Kiarie

HAKUNA SILAHA lyrics by Sarah Kiarie

Lyrics Of The Song HAKUNA SILAHA lyrics by Sarah Kiarie

Song ID 2764

chorus hakuna silaha yeyote iliyotumwa kinyume chetu itakayofaulu 2 silaha yoyote itakayotumwa kwa njia moja au nyingine itawanywishwa kwa njia saba haitafaulu 2 maneno maovu yaliyonennwa na walio hai na walio kufa chini ya maji na nchi kavu haitafaulu 2 hakuna x3 itakayofaulu neno la Mungu linasema hakuna uchawi mapepo uganga ushirikina itakayo faulu usiogope simama na neno la Mungu

HAKUNA SILAHA lyrics by Sarah Kiarie.mp3

HAKUNA SILAHA lyrics by Sarah Kiarie.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Related Post