Ibada Lyrics ibada_lyrics Mwamba Wenye Imara

Mwamba Wenye Imara

Lyrics Of The Song Mwamba Wenye Imara

Song ID 2535

mwamba wenye imara kwako nitajificha maji hayo na damu yaliyotoka humu hunisafi na dhambi hunifanya mshindi kwa kazi zote pia sitimizi sheria nijapofanya bidii nikilia nakudhii hayaishi makosa ndiwe wa kuokoa sina cha mkononi naja msalabani nili tupu nivike ni mnyonge nishike nili mchafu naja nioshe nisijafa nikungojapo chini nakwenda kaburini nipaapo mbinguni na kukwona enzini roho yangu na iwe rahani mwako wewe swahili version of rock of ages cleft for me

Mwamba Wenye Imara.mp3

Mwamba Wenye Imara.video.mp4 YouTube

 

Hits: 2

Leave a Reply

Related Post