Lyrics Of The Song Najua Bwana Anatengeneza Njia
Song ID 131
najua Bwana antengeneza njia anatengeneza njia kwa ajili yangu najua baba antengeneza njia anatengeneza njia kwa ajili yangu najua Bwana najua Bwana antengeneza njia anatengeneza njia kwa ajili yangu ninajua najua Bwana antengeneza njia anatengeneza njia kwa ajili yangu ukiponya Bwana unatengeneza njia unatengeneza njia kwa ajili yangu ukifungua baba unatengeneza njia unatengeneza njia kwa ajili yangu najua Bwana antengeneza njia anatengeneza njia kwa ajili yangu njia ya wokovu njia ya imani najua sasa najua Bwana antengeneza njia anatengeneza njia kwa ajili yangu ninayoshuhudia hayo hata ni mapito unatengeza imani yangu kwako na miujuza nayo ni maandalizi unatenda imani yangu kwako najua Bwana antengeneza njia anatengeneza njia kwa ajili yangu uzima tele ndio njia tarajiwa unatengeneza njia kwa ajili ukiinua imani yangu kwako
Najua Bwana Anatengeneza Njia.mp3
Najua Bwana Anatengeneza Njia.video.mp4 YouTube
Hits: 2