Nalifurahi

Lyrics Of The Song Nalifurahi

Song ID 2240

bass nalifurahi all waliponiambia bass natwende all nyumbani mwa Bwana tuungane tumwimbie Bwana sifa zake zivume duniani x2 kwa Bwana kunayo makao yaliyowekwa tayari na Yesu nimeahidi kumfuata tangu leo hadi kufa kwangu

Nalifurahi.mp3

Nalifurahi.video.mp4 YouTube

 

Hits: 4

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post