Ibada Lyrics ibada_lyrics Ndiyo Siku Ya Furaha

Ndiyo Siku Ya Furaha

Lyrics Of The Song Ndiyo Siku Ya Furaha

Song ID 3213

ndiyo siku ya furaha kwenu ninyi wana harusi ndiyo siku ya pekee kwenu ninyi wana harusi hongera ndugu jama hongera hongereni wana harusi x2 mapendo yenu yadumu siku zote bila mwisho shetani anyimwe nafasi katika maisha yenu neno lenu liwe moja hapo ndipo mtashinda nia yenu iwe moja hapo ndipo mtashinda mke wako anaporudi kwa upendo mpokee iwe mchana iwe usiku kwa amani mpokee mme wako anaporudi kwa upendo mpokee iwe mchana iwe usiku kwa amani mpokee

Ndiyo Siku Ya Furaha.mp3

Ndiyo Siku Ya Furaha.video.mp4 YouTube

 

Hits: 3

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

Related Post