Lyrics Of The Song Ni neema ya mkombozi – Nimefanyika kuwa mwana
Song ID 3975
ni neema ya mkombozi ni neema sikustahili ni neema ya mkombozi nineema sikustahili nimefanyika kuwa mwana na nimeesabiwa haki nimefanyika kuwa mwana na nimeesabiwa haki nimefanyika kuwa mwana na nimeesabiwa haki nimefanyika kuwa mwana na nimeesabiwa haki ukuhani wa kifalme uzaao mteule mtu wa milki ya Mungu nimefanyika kuwa mwana kwa kazi ya msalaba yakale yoteyamepita tazama yamekuwa mapya nimefanyika kuwa mwana
Ni neema ya mkombozi – Nimefanyika kuwa mwana.mp3
Ni neema ya mkombozi – Nimefanyika kuwa mwana.video.mp4 YouTube
Hits: 27